Sio 3se hii ni 4s na cc zake nadhani ni 1998.Noah yenye ingine ya 3SE inakua na ingine ya 1500cc
Noah yenye ingine ya 3SE inakua na ingine ya 1500cc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Najua hiyo gari inauzwa kwa kuwa Ni 4wd Kama utapata mteja wa milioni 6 mpe Tu akalie nalo
Bado ipo mkuu?Tshs 15,000,000 Kilometers: 150,000 Transmission: Stick Shift Four Wheel Drive, Import Duty is Paid:
Defender 110, TDI 3000, Diesel, white. Contact 0755312233
Wanaonunua gari ya aina hiyo hawana lugha kama uliyotumia wewe, wewe nyangema tu kutafuta kick JF. Brake booster tu ya hilo gari unanunua IST halafu unabana pua hivo eti ulinunue?Hii gari ilishanunuliwa? Nataka niinunue
HahahaWanaonunua gari ya aina hiyo hawana lugha kama uliyotumia wewe, wewe nyangema tu kutafuta kick JF. Brake booster tu ya hilo gari unanunua IST halafu unabana pua hivo eti ulinunue?
vipi mkuu ulaji wake wa mafuta upoje?