Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

nimepiga hesabu za haraka hiyo milioni 40 napata mashine ya maana kama hii Vogue!!

 
Sijui amemaanisha alichoandika au ameandika alichomaanisha,ngoja niendeshe hizihizi rav 4 za 1998
 

Mkuu...kabla huja weka bei angalia trade car rav four za 2006..mpaka tu kuleta bongo haifiki 40mil. Pili gari ya 2006 mkuu kilomitre 53k ni wizi ....ila mwisho wa siku we ni muuzaji..u can even say 200mil...bei chaguo lako..ila chagua vizuri maana unawezakuta iyo Rav four ukakaanayo usiuze milele..kama vp igeuze demu uioe...mil 40? Unedata...
 
km 85000
petrol
1300cc
year 2002
Black in color
 
km 85000
petrol
1300cc
Automatic
year 2002
Black in color
Bei 6.5mil.
Mawasiliano:0755312233
 

Attachments

  • DSCN6248.JPG
    31.9 KB · Views: 182
  • DSCN6249.JPG
    47 KB · Views: 180
  • DSCN6250.JPG
    48.7 KB · Views: 161
Ni GX 100. Inauzwa sh 3.5mil. Hiyo siyo bei yake halisi, ina thamani zaidi ya hiyo, kwa kuwa muuzaji anahitaji pesa haraka hivyo ameamua kuvunja bei. Tuwasiliane ikiwa unahitaji unahitaji kuiona au maelezo ya ziada. 0755312233
 
weka picha na mileage zake na ya mwaka Gani!
 
Mkubwa EMBU WEKA HIZO MAELEZO YA MILEAGE NA MAMBO MENGINE NA KAMA INA TATIZO LOLOTE
 
Ina Milango mitatu, grey, 1992 model, 1590cc, iliingia TZ 02/11/07. Imetembea 63865km. Petrol injini. Ipo katika hali nzuri. Haijawai kupata ajari. Ipo Dar es Salaam. Bei 5.8mil. Mawasiliano 0755312233
 

Attachments

  • DSCN6333.JPG
    43 KB · Views: 109
  • DSCN6335.JPG
    29.7 KB · Views: 127
  • DSCN6336.JPG
    38.2 KB · Views: 100
  • DSCN6338.JPG
    26.4 KB · Views: 100
  • DSCN6339.JPG
    38.2 KB · Views: 96
mkuu king kong we ni noma kila bidhaa wataka uwekewe picha hata kule kwenye sumsung electronics nimekuona, teh teh co mbaya hutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia co
 
mnh mie nina millioni tatu,niko mbali vipi unapokea nimtume mtu aje kuiona?
 
Picha lakini muhimu sana mkuu Kama unataka quick sale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…