Nauza Magar ya kila aina

Nauza Magar ya kila aina

samahani mkuu.....labda sijaelewa......kwani magari unayouza ni mapya.....?

Ninaposema mpya na maanisha ambayo ni imported kutoka nje na used ambayo yametumika hapa hapa bongo na kuuzwa!!
 
Ninaposema mpya na maanisha ambayo ni imported kutoka nje na used ambayo yametumika hapa hapa bongo na kuuzwa!!

ooohoo.....nataka ambayo ni used Japan.........ila niinunulie hapa nchini.......
 
Samahan mkuu,
hv kati ya toyota Allex na toyota Runx ipi iko bomba zaidi

QUOTE=Big Money;7914646]Kuna Mark X ipo imetoka bandarini sio muda hio bei yake 19.5mil, Toyota Passo 8.5mil mpya pamoja na Kluger 23mil. Kama ww ni mteja serious tutafutane kwenye simu tufanye biashara, mengine pia yapo mlongo longo ni mrefu!!
Kwa mawasiliano: 0716 398757[/QUOTE]
 
Samahan mkuu,
hv kati ya toyota Allex na toyota Runx ipi iko bomba zaidi

QUOTE=Big Money;7914646]Kuna Mark X ipo imetoka bandarini sio muda hio bei yake 19.5mil, Toyota Passo 8.5mil mpya pamoja na Kluger 23mil. Kama ww ni mteja serious tutafutane kwenye simu tufanye biashara, mengine pia yapo mlongo longo ni mrefu!!
Kwa mawasiliano: 0716 398757
[/QUOTE]

Ziko sawa tu kaka inategemea unapendelea ipi tu, hazina tofauti xana ni majina tu!!
 
Hii nayo ipo imetoka leo bandarini;
Toyota Will vs
ina consumption ya mafuta nzurii kabixaa very comfortable and yet luxurious.
Bei 12.5mil karibuni
 
Attachments

  • 1385843794134.jpg
    1385843794134.jpg
    72.6 KB · Views: 121
  • 1385843840915.jpg
    1385843840915.jpg
    71.5 KB · Views: 115
  • 1385843875505.jpg
    1385843875505.jpg
    88.4 KB · Views: 125
  • 1385843923973.jpg
    1385843923973.jpg
    89.4 KB · Views: 111
Nahitaji Bentley Mulssanne ya 2013, ipo kwa pound ngapi??
 
Back
Top Bottom