Nauza Magar ya kila aina

Nauza Magar ya kila aina

Big Money

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
166
Reaction score
15
Kuna Mark X ipo imetoka bandarini sio muda hio bei yake 19.5mil, Toyota Passo 8.5mil mpya pamoja na Kluger 23mil. Kama ww ni mteja serious tutafutane kwenye simu tufanye biashara, mengine pia yapo mlongo longo ni mrefu!!
Kwa mawasiliano: 0716 398757
 

Attachments

  • 1385393472188.jpg
    1385393472188.jpg
    82.8 KB · Views: 547
  • 1385393530103.jpg
    1385393530103.jpg
    61.1 KB · Views: 531
  • 1385393568568.jpg
    1385393568568.jpg
    64.5 KB · Views: 516
  • 1385393613016.jpg
    1385393613016.jpg
    51.5 KB · Views: 505
  • 1385393645812.jpg
    1385393645812.jpg
    57.1 KB · Views: 501
  • 1385393676526.jpg
    1385393676526.jpg
    52.3 KB · Views: 476
tubajdilishane hiyo kluger na nissan xtrail yangu no CG..
 
Nahitaji Suzuki swift 4WD ya kuanzia 2005 had I 2010. Inapatikana kwa sh ngapi?
 
Mkuu jibu maswali ya wadau ili nasisi tujipime ubavu
 
Mnavouliza maswali ni vizuri muwe mnamquote au unamtaja jina ili aone notification, si mnajua JF ni jiji!
cc Big Money
 
Last edited by a moderator:
Unalipa kodi kwa hii biashara humu Wazee wa tra kuleni kichwa hicho.
 
Back
Top Bottom