Nauza mafuta ya arizeti litre 5 na litre 3, 25000 na 15000 respectively

Manase fast courier

JF-Expert Member
Mar 23, 2021
539
320
IMG_7759.jpg

Napatikana kinyerezi delivery mpaka nyumabni kwako kwa gharama nafuu...dials 0744302922
 
Nlkuwa naomba mwenye connection yoyote ya vitabu kama anaeza kuniconnect tumuinue mzee anavitabu kashaandika na vina stori nzuri sana ila bado hajavipublish vilevile ni mkalimani na anakingereza kizuri sana na vilevile anadictionary ya KIlatin anaiandaa...sasa mwenye ushauri wowote anaeza nshauri tumsaidie
 
Hiyo ni fursa mkuu. Mtafute Nyambari Nyangwine au Pascal Mayalla watakusaidia.
 
Kuku aina ya sasso wewe na mafuta mkuu hongera nipunguzie bei boss nipe lita 3 buku kumi kavu
 
Bei ya jumla unauza bei gani mzee, nahitaji mengi kidogo for busines...
 
Back
Top Bottom