Nauza madodoki

Nauza madodoki

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,772
Bei karibu na bure
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    8.4 KB · Views: 918
hahahahahaaa! haya bana naona umeamua kuturushia madongo.
cc mshana jr
 
Last edited by a moderator:
ila mkubali tu magufuli hana mvuto. Rais Ni Lowasa
 
Nikisoma ule uzi wa meli ya mv daslaam vs mv Kilimanjaro
Magufuli anahitajika kutumbukizwa kwenye pipa la jiki ndio awe msafi

Meli ya mwaka 1976 billion 8
Meli ya mwaka 2015 billion 6
Haaaaa kazi ipo hapo
 
Tukisema mtu aeleze uhusika wa edo kwenye ufisadi hakuna bali ilikuwa kama fasheni tu kumwita fisadi ila hakuna ushahidi wowote
 
Wauzie CCM Ndio Wachafu Wa Kutumia Madodoki; Wengine (UKAWA),Ni Tuhuma tu na Chuki Binafsi.
 
Nikisoma ule uzi wa meli ya mv daslaam vs mv Kilimanjaro
Magufuli anahitajika kutumbukizwa kwenye pipa la jiki ndio awe msafi

Meli ya mwaka 1976 billion 8
Meli ya mwaka 2015 billion 6
Haaaaa kazi ipo hapo

Nakumbuka ile post yangu ya bili ya Tedy Marire
 
Last edited by a moderator:
Kweli Wanaume Tumetofautiana Maumbile Na Jinsi Tulivyojaliwa.Wengine Inabidi Mvumilie Tu Kwasababu "Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndani".
 
Kweli Wanaume Tumetofautiana Maumbile Na Jinsi Tulivyojaliwa.Wengine Inabidi Mvumilie Tu Kwasababu "Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndani".
Hahahaaaa... Kwa hiyo kuna wengine wanaweza kuyaweka kwenye matumizi mbadala...haaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom