sikuelekezi mkuu unaweza ukapotea ukasema nimekuingiza choo cha wanajeshi ukanilaumu,nakupenda sana ndugu yangu naomba chukua hizi namba ukifika k.koo piga 0655-746693 duka lipo mtaa wa aggrey barabarani ilipo benki ya posta.
baada ya benki ya posta tu duka la kwanza mkono wako wa kulia kama unaelekea china plaza,ingia duka hilo hilo usiulize kitu piga hiyo namba ukiwa ndani ya hilo duka utaona ataepokea kisha muonyeshe hii comment unayoisoma hapa,usiongee mara mbili.
sio LG tu kuna Hisence,star x,maisha,sony na tv nyingine nyingi tu mkuu,nadhani ukifika dukani utaona zaidi kwa macho yako kuliko haya maelezo ninayotoa hapa.