LG flat screen nauza

LG flat screen nauza

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
631
Reaction score
512
Bei 350000

ina muda wa miezi minne tangu itoke dukani
Ni lg original za uk

inch 32

0689719676
IMG20220920110503.jpg
IMG20220920110526.jpg
IMG20220920110519.jpg
 
ina ukubwa gani mkuu? umekimbilia kuandika muda uliyotumika ukasahau saizi ya TV ndo muhimu. kutumika hata ingetumika lisaa kama ni mbovu tayari ni mbovu tu....
 
ina ukubwa gani mkuu? umekimbilia kuandika muda uliyotumika ukasahau saizi ya TV ndo muhimu. kutumika hata ingetumika lisaa kama ni mbovu tayari ni mbovu tu....
Nilisahau kuandika
nchi 32

kuiwasha hata mwezi sijatimiza

coz kazi zangu za kusafiri tu na sasa soon naondoka kurudi mpk likizo mwaka uishe

so vitu vya umeme hivi nauza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom