Nilitaka kuanzisha kampuni ya kutoa mikopo. Pamaoja na mambo mengine niliandaa " Lending Policies and Procedure Manual". Kwa sasa niko kwenye ufugaji.
Nauza " Lending Policies and Procedure Manual" kwa bei ya Tshs 350,000. Ukinunua nitakupa na ofa hizi bure:
1. Kukuandikia "Memorandum and Articles of Association" kama utahitaji.
2. Kukutumia fomu za BRELA ili ujaze au kukusaidia kuzijaza, kama huna muda wa kufungua web site ya Brela ili kupata fomu husika.
Pia kama unataka kufungua Kampuni na kufanya mambo mengine nje ya kutoa mikopo, nitakutengenezea "Memorandum and Articles of Association" na kuzipeleka Brela na kufuatilia mpaka nakupa hati ya usajili ya Kampuni yako. Gharama kwa kazi yote ni Tshs 100,000. Gharama hizi ni nje ya gharama za mwanasheria na malipo ya usajili.
Gharama za usajili wa Kampuni na fomu na taarifa zote kuhusu usajili na nyingine nyingi ziko kwenye web site ya BRELA.
Niko Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano:
kilimotanganyika@gmail.com