Nauza led Tv 32 na simu aina ya Tecno Camon x.

Nauza led Tv 32 na simu aina ya Tecno Camon x.

kwa anaehitaj,ninauza led tv aina ya aborder 32 ,ni full hd ina kioo cha protector ipo na hali nzuri sana kwani ninaitumia mwenyewe,pia nina simu aina ya Tecno Camon X ni mpya na ni nzuri kwa anae fuatilia simu anazijua.nina list zake zote kwa anae hitaji tuwasiliane 0678458422.bei maelewano.
Mkuu Kama bado vpo tv kula 300 na cm kula 200. Tufanye Biashara
 
mimi siyo mfanya biashara,na ninauza kwa sababu zilizo nije ya uwezo wangu,hivyo mwenyehitaji nimesema anicheki na wala sihitaji coment zisizo na ulazima kama ningekuwa mfanya biashara ningeandaa mazingira ya kibiashara zaidi ,kama hamna mwenye uhitaji si kesi pia.mana maduka watu munayajua
Kama sio mfanyabiashara basi ungeigawa bure ,kitendo cha kuuza au kununua hiyo ndio biashara yenyewe....
 
Back
Top Bottom