Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,438
- 2,868
tv 340 elfu na simu 290 elfu
Dukani nauza aboder nch 32 kwa 320,000 wewe ushatumia unauza 340,000 aise mbona hauko fair kabisa
tv 340 elfu na simu 290 elfu
nilijua tutv 340 elfu na simu 290 elfu
bac sawa bwana ,mana humu wario serious niwachache,mm nimeweka namba na tunaweza ongea ,inategemea na tv yenyewe ,c aborder ukaona zote ni za dizain moja,zinaachana mkuu mm niliweka namba iko wazi watu wanakuja kila mtu na lake,mm inategeme na bei niliyochukulia na kifaa chenyewe,sasa cwez kuji devaluet et kisa nimeamua kuuza na niuze kwa hasara zaid,anaeshindwa anaacha tu .ni hayo tu mkuuDukani nauza aboder nch 32 kwa 320,000 wewe ushatumia unauza 340,000 aise mbona hauko fair kabisa
bac sawa bwana ,mana humu wario serious niwachache,mm nimeweka namba na tunaweza ongea ,inategemea na tv yenyewe ,c aborder ukaona zote ni za dizain moja,zinaachana mkuu mm niliweka namba iko wazi watu wanakuja kila mtu na lake,mm inategeme na bei niliyochukulia na kifaa chenyewe,sasa cwez kuji devaluet et kisa nimeamua kuuza na niuze kwa hasara zaid,anaeshindwa anaacha tu .ni hayo tu mkuu
munajua tunapoamua kuuza vitu siyo kwamba ndo tupatiane fursa za za kutabaaishana,ukiona haikuingii kichwani unapita tu kama huoni mana hata mm mumiliki nilitumia gharama kuwa nacho,hivyo elewa ninapo amua kuuza kwa imani yangu nauza kiroho safi kwa bei punguzo ambayo najua mtu hata ambaye hakuwa na wazo la kumiliki hicho kitu anaweza akaamua kuchukua kwa sababu zinazofahamika.sasa kuna baadhi ya watu wanakejeli sana humu.ila niseme tu kwa mtu mwenye akili zake hawez kusumbuana na watu.atakaye hitaji atanioana na asiyenauhitaji apite kama haoni wala sio kesi wakuu.Ndo hivo Mkuu,,
Wewe ni mzaramo nini mbna una maneno mengi ivo ,usishindane wa watu wa humu ,utaumia kichwa bure ,kuna watu humu kazi yao ni kuharibu biashara za watu ,kumbe hata kijiko hawanamunajua tunapoamua kuuza vitu siyo kwamba ndo tupatiane fursa za za kutabaaishana,ukiona haikuingii kichwani unapita tu kama huoni mana hata mm mumiliki nilitumia gharama kuwa nacho,hivyo elewa ninapo amua kuuza kwa imani yangu nauza kiroho safi kwa bei punguzo ambayo najua mtu hata ambaye hakuwa na wazo la kumiliki hicho kitu anaweza akaamua kuchukua kwa sababu zinazofahamika.sasa kuna baadhi ya watu wanakejeli sana humu.ila niseme tu kwa mtu mwenye akili zake hawez kusumbuana na watu.atakaye hitaji atanioana na asiyenauhitaji apite kama haoni wala sio kesi wakuu.
He! Mashoga tena???haina shida mkuu ila mm,nilitaka niwaeleze mana wengi wao naona wanaasili ya ushoga hiv.
Dukani nauza aboder nch 32 kwa 320,000 wewe ushatumia unauza 340,000 aise mbona hauko fair kabisa
😂😂😂😂He! Mashoga tena???
Hiyo picha uloweka siyo inchi 32!tv 340 elfu na simu 290 elfu
ingekuwa ya wizi ningekupa mkuu ila bahati mbaya nilinunua mwenyewe hivyo najua gharama yake na hiyo devaluation yako katafute nchi 14We hiyo aborder nkupe 150.....ka umeelewa nambie nkuchek bob....mwenyw npo mwanza
ni ngapiHiyo picha uloweka siyo inchi 32!
hiyo ni 32 mkuu maana mm ndo mmiliki,sasa ukinibishia nitakushangaa.Hiyo picha uloweka siyo inchi 32!
Iko wapiNimevutiwa sana na picha ya tv yako
Bado ipo vizuri wateja watakuja mkuu
shukuran mzee, kwa bei hiyo hamnaSema bei hali saivi ngumu mm nina 250