nauza laptop yangu aina ya Siemens bei 300000/ =

nauza laptop yangu aina ya Siemens bei 300000/ =

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
habari wakuu Nauza laptop yangu aina ya Siemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk 160,cD room
tatizo lake ni battery tu 7bu linakaa dk 40 xo kama uko interested nicheki kwa number hzo 0713943432 npo dar
kwa picha zaidi namuonekano wake halisi njoo whatsap kwa number hzo. Maongezi kidogo yapo 7bu ya battery.

sababu yakuiweka sokoni sina matumizi nayo kwa wakati huu kutokana nakuwa na mambomengi.
 
Battery inakaa dk 40? ukitaka laki 2 ni pm.

siwezi nikata chukua hyo ela kutokana na mzgo jnc ulivyo! hebu usaminishe kwanza mkuu alafu ndo uongee tena!
 

Attachments

  • Siemens 5.jpg
    Siemens 5.jpg
    256.8 KB · Views: 195
habari wakuu Nauza laptop yangu aina ya Siemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk 250,cD room
tatizo lake ni battery tu 7bu linakaa dk 40 xo kama uko interested nicheki kwa number hzo 0713943432 npo dar
kwa picha zaidi namuonekano wake halisi njoo whatsap kwa number hzo.

Sio wote tuko huko whatsap!!
 
Duuuhhhhhhhhh, huu mzigo sijawahi kuuona hata madukani
 
Ni fujitsu siemens amilo pi au nijuze...naweza kufanya biashara nawewe!
 
habari wakuu Nauza laptop yangu aina ya Siemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk 160,cD room
tatizo lake ni battery tu 7bu linakaa dk 40 xo kama uko interested nicheki kwa number hzo 0713943432 npo dar
kwa picha zaidi namuonekano wake halisi njoo whatsap kwa number hzo.

Wakuu mzigo bado upo na mapicha ndo hayo 7bu wengi mlikuwa mnataka picha xo kazi kwenu sasa!
 

Attachments

  • laptop 1.jpg
    laptop 1.jpg
    13.9 KB · Views: 74
  • laptop 2.jpg
    laptop 2.jpg
    26.2 KB · Views: 68
  • laptop 5.jpg
    laptop 5.jpg
    24.4 KB · Views: 71
Back
Top Bottom