INAUZWA Nauza Laptop ya kazi haswa, bei nafuu

Tyler Durden

Member
Aug 5, 2021
73
114
Guys nauza Laptop aina ya HP Pavilion dv6 aluminium body...
Processor AMD A6-3410
RAM- 6GB
HDD 500GB
Graphics adapter - AMD Radeon HD 6755g
Sound card- HD Audio..
Ina support program zote kubwa.....
PC tayari ipo installed Na Windows 10, Adobe illustrator, Adobe Photoshop, archcard Na program nyengine nyingi....inawafaa sana wanafunzi wa graphics Na architecture....
Downside pekee ni plastic inayoxunguka iliyopo kwenye kioo imechakaa kidogo....
Napatikana Dar es salaam
Bei ni laki tatu tu. (300000)
Unaweza kunicheki 0783350399
Au 0767552703

IMG_20220124_085836048.jpg
IMG_20220124_085843929.jpg
 
Inakaa na chaji kwa muda gani? Wakati fulani ukiuza kitu ambacho tayari ni used, huna budi kufumba macho na kuuza tu kwa hasara, ili maisha yaendelee.

Maana kuna ule msemo usemao "Kufa Kufaana"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom