Nauza Lamborghin Gullardo

Duh lamborghin mbona wantisha hata ngekua dalali ngepata wakati mgumu kupata mteja...
 

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo. Kuna mwingine hata SANLG ya Mchina inampiga chenga, na mwingine ana Lambourghini
Sanlg mbona mbaali... Mboga tu ya majani issue. Tutafika tu siku 1
 

Dahhhh aibu kweli ...
 
the boy is crazy,not smart enough,ukiangalia jina la picha yaan attachment ina namba kama format ya facebook pictures, kadownload na kupachika namba tz, kwel hana kaz ya kufanya
 
Utadoda nalo hilo, ulihongwa la nini kama huna uwezo wa kulitunza.
 
upload sasa, kwani mpaka abishe.acha utoto bwana humu tupo serious
 
1.2 bilioni pesa ya Zimbabwe au DRC? naomba ufafanuzi
 
Huyu kaamuakusumbua tu watu, Lambo Murciellago anasema gullardo, kwa hyo bei angetangaza kuuza Pagani Zonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…