Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
WAKUU,
Nina laini ya wakala ya Tigopesa ambayo niliinunua kwa mtu.
Nimeitumia kwa mwaka mmoja na sasa nimepata yenye jina langu,
Hivyo nataka niiuze hii ya awali.
Changamoto ni kwamba hii laini ya awali ina tatizo la kutorudisha meseji mtu anapotoa pesa,
Yaani miamala inaingia kimyakimya bila kuleta meseji-
Hivyo inabidi uangalie taarifa ndipo uione.
Nimewasiliana na customer service wananiambia niende na vitambulisho vilivyotumika kuisajili (kiukweli siwezi kuvipata kwani mmiliki wa awali haishi nchini kwa sasa).
Nifanyaje ili kurekebisha hilo tatizo la sms?
Kwani nataka niiuze kwa kuwa nimeshapata yenye jina langu.