mi ninayo line ya Tigo pesa bei laki 5,M Pesa Bei laki na nusu na Airtel money bei yake ni kama ya M pesa.
Nitakuletea utakapokuwa kama upo apa Dar,kwa mkoani nitakutumia kwa basi..
Kwa walio serious tu 0755 927881 (whatsap)
Kumbuka,bei hazipungui........
Hiyo ya tigo pesa ukiiuza laki 5 mimi nitakupa laki 1 ya bure ziwe laki 6 ili ukanywe soda kama pongezi.
Laini zenyewe Mawakala wakuu wanawaomba watu wajiunge unaenda kuomba Leo baada ya wiki unapata bure tena kwa jina lako.utawaibia haohao
Hiyo ya tigo pesa ukiiuza laki 5 mimi nitakupa laki 1 ya bure ziwe laki 6 ili ukanywe soda kama pongezi.