Nauza kuni dsm

Nauza kuni dsm

Nina kuni nauza zipo Ununio kirikuu nne zinajaa, laki mbili.
Pia kama unauza tofali ninahitaji elf 2000 kesho, bei yangu mia saba.

Hili tangazo mwisho saa nne kesho.

Karibuni sana
Dah...hatareeee.. . Bei ya kuuza kuni unataja wewe.... Bei ya kununua Matofari unataja wewe....

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom