Nauza kuku wa kisasa

Nauza kuku wa kisasa

mwanamke kazi

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
71
Reaction score
5
Habari zenu wadau. Nauza Kuku wa kisasa wa nyama ni wakubwa wamefugwa mazingira masafi na wapo tayari kwa kula .nauza kwa jumla na rejareja.jumla ni elfu6000 na rejareja ni elfu5500. karibuni sana kwa mawasiliano zaidi. Namba yangu ni 0719578900.
 
kwanza hongera sana, pili kwenye bei sodhani kama uko sawa yaani nikininua jumla beibina panda badalabishuke?
tatu ungesema uko mkoa gani, wilaya mtaa ili kama tunakuungisha tuje...
 
Habari zenu wadau. Nauza Kuku wa kisasa wa nyama ni wakubwa wamefugwa mazingira masafi na wapo tayari kwa kula .nauza kwa jumla na rejareja.jumla ni elfu6000 na rejareja ni elfu5500. karibuni sana kwa mawasiliano zaidi. Namba yangu ni 0719578900.

Kweli mwanamke kazi. nime ku pm
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom