Onesmo Nchimbi
Member
- Apr 18, 2017
- 34
- 22
Habari wana JF,
Nina kuku wakienyeji kama 150 ni mchanganyiko yaani majogoo na Tetea ni wakubwa na wazuri kwa kufuga pia wazuri kwa nyama, kuku hao wapo mkoani Mbeya lakini nitawasafirisha Dar es Salam hivyo kwa nahitaji mteja wa jumla atakaeweza kununua kwa pamoja sihitaji reja reja hao kuku natarajia mzigo hadi tarehe 02/08 utakua hapa Dar kama unahitaji ni Pm.
NB: Pia kama unahitaji nusu ya hao 150 nitakuuzia, karibuni sana.