Nauza kuku wa kienyeji.

Nauza kuku wa kienyeji.

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
925
Reaction score
635
Nina kuku wa kienyeji wazuri bei ni nzuri, nipo moshi, tunaweza kuwasiliana kwa 0716512935.
 
Hao kuku bei gani mkuu? Je, hawanaja- cross na wale wa kidhungu?
Vipi kwa mteja aliyeko dar?
 
Moshi sehemu gani? Na je kuku hao ni chotara au wa kienyeji pure?

Kuku wenyewe ni kienyeji pure, nipo karibu na kiboriloni but 2naweza kuwasiliana zaidi kwa no. Hapo juu.
 
Mimi ninao kumi wa kienyeji pure hapa Kinondoni, kwa aliye dar ani-pm. Bei nzuri sana.
 
Hapo ndipo huwa nawakubali jamaa zangu wa Moshi. Fanyeni vyooote ila akipata nafasi asahau biashara yake....mkuu nimekupata nitakutafuta!
 
Hapo ndipo huwa nawakubali jamaa zangu wa Moshi. Fanyeni vyooote ila akipata nafasi asahau biashara yake....mkuu nimekupata nitakutafuta!

ebwana poa kila la kheri wana Jf.
 
huyo wa Dar aseme anauza shilingi ngapi na yuipo wapi mimi nahitaji pia
 
Bwana Haji naona ingekua vizuri 2onane j5.au uni Pm.
 
Tafadhari nauza kuku wa kienyeji kwa jumla,wana kilo, 1.2, kg 1.3kg,1.4 au zaidi kg.naweza supply hata zaidi ya 700. per wiki. mie nipo morogoro vijijini karibu na dakawa. bei ni kuanzia 12,13,14.baada ya wiki nasupply kwani nipo vijijini. nataka kuwauza hawa nifuge chotara.anayetaka call me via, 0714004426,
 
bei ya jumla kuku wa kilo 1.4 inaanzia 12???, kubwa mno, singida hapo elfu 6 tu!.
 
Back
Top Bottom