Nauza Kuku jamii ya Kuchi

Nauza Kuku jamii ya Kuchi

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,196
Reaction score
9,200
Wakuu nina kuchi majogoo na mitetea,nauza jogoo mkubwa kabisa 70,000/= na mitetea ya kutaga 30,000/=

Kwa picha tuwasiliane ka Whatssap #0719813815

updates:

Wakuu asanteni,nimeshapata oda na kuku wote 11 wamekuwa booked tayari,asanteni!!!
 
Unge weka hapa hap Jf hizo picha. Sio kila mtu anatumia WhatsApp.
 
Unge weka hapa hap Jf hizo picha. Sio kila mtu anatumia WhatsApp.

Mkuu siwez kwa simu,labda unipe namba halafu nikutumie uziweke japo kuna mdau kashaweka oda ya kuku watano!!
 
Weka picha hapa.. wengi hatutumii hizo WhatsApp.
 
Wakuu nina kuchi majogoo na mitetea,nauza jogoo mkubwa kabisa 70,000/= na mitetea ya kutaga 30,000/=

Kwa picha tuwasiliane ka Whatssap #0719813815

updates:

Wakuu asanteni,nimeshapata oda na kuku wote 11 wamekuwa booked tayari,asanteni!!!

70,000/=??? Au Typing error pengine ulikusudia kuandika 7,000/=. Juzi nimenunua beberu kwa Tsh 55,000/= nimeshangaa kuona bei ya kuku kuwa juu ya mbuzi, labda utufanulie kwamba hilo ni toleo maalum la mbegu.
 
Mbona kuku kuchi wanakuwa na bei kubwa kuliko hio70,000 wanamzidi Ngombe.
Kifaranga cha kuku ainaya kuchi indian version Tsh 50,000.
Angalia picha za vifaranga vikubwa bei Tsh 200,000 kwa mmoja.
Picha za wakubwa bei kubwa zaid, but kwa fahari ya macho naweka moja tu
 
Attachments

  • 1448776411604.jpg
    1448776411604.jpg
    94.6 KB · Views: 695
  • 1448776435328.jpg
    1448776435328.jpg
    43 KB · Views: 710
  • 1448776482196.jpg
    1448776482196.jpg
    76.2 KB · Views: 765
  • 1448776612521.jpg
    1448776612521.jpg
    38.1 KB · Views: 780
Mbona kuku kuchi wanakuwa na bei kubwa kuliko hio70,000 wanamzidi Ngombe.
Kifaranga cha kuku ainaya kuchi indian version Tsh 50,000.
Angalia picha za vifaranga vikubwa bei Tsh 200,000 kwa mmoja.
Picha za wakubwa bei kubwa zaid, but kwa fahari ya macho naweka moja tu
aisee kunak uchi mmoja hapo naona anafanana na WEMA
 
Back
Top Bottom