Mm ni muuzaji wakorosho za kuokwa kutoka masasi mtwara. Nawatangazia wanaoitaji korosho mm naziuza mfano kwa picha chini.
Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.Sasa unauza hujataja bei wala uzito kwa hiyo bei. Hujataja upo wapi? Mbona hampo serious na biashara?
najuwa
Sio kosa lako, kosa ni la serikali ya ccm kukukosesha Elimuakuna
Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
Kilo 18 master
Hahahaaaa....daahAta ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
Sawa mwalimu wa kiswahili.Sio kosa lako, kosa ni la serikali ya ccm kukukosesha Elimu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
Kulaleki walai 😂😂😂🤣🤣🤣🙌🏽Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
Mbona unaonyesha kushindwa mapema?Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
Kama ulijuwa umu akuna wa kununua korosho zako, kwa nini sasa umekuja kuweka tangazo lako? Huoni kuwa umepoteza muda wako bure?Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.