kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 793
Ni 2km from main road kuelekea kigamboni, ukitokea kongowe kiko upande wa kushoto karibia viwanja vya kupimwa ni futi 70 kwa 170 kina tofali 5000 na kokoto trip 1 ya selela nauza vyote bei ni 17m mazungumzo yapo kidogo dalali atapata 5% ya mauzo, only serious buyer; karibuni wote.