Nauza kiwanja kipo Changanyikeni

Nauza kiwanja kipo Changanyikeni

Kama kiwanja ni cha baba weka wazi nasoma thread nzima sielewi mara kimekatwa kwa portions. Kuwa muwazi wew biashara huria hii n....yambaff
 
kutokana na maombi na ushauri wa wengi nimeona ni expose price ambayo haipungui....millioni 60 ndio last price...ndugu zangu msini elewe vibaya mi sio dalali nina shughuli nyingine tofauti kabisa ...na hicho kiwanja ni cha familia so siwezi fanya uhuni kwenye suala kama hilo...namuogopa na namuabudu Mungu
 
Sawa,
Kwa hiyo hiyo 60mil ndio 60m x 40m?? Au ni vikishakatwa?
 
ni kwa 30m × 40 m...mkuu shark

Kwa Eneo la Changanyikeni na ukubwa wa hicho kiwanja inawezekana kabisa bei ni sahihi.

Sema sisi wengi wetu hapa JF tumezoea vile vya 3mil, 6mil, 12mil, tukizidi sana wachache wachache kwenye 20mil.

Jaribu hata na kwenye other media kama Inauzwa.com na Dar Properties,
 
nimekusoma shark
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom