Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
jamani msiogope bei ni maelewano mpaka tutafikia muafaka.
Siogopi mkuu unajua ukiwa huna kitu unajifanya au kuna error amezidisha sifuri
jamani msiogope bei ni maelewano mpaka tutafikia muafaka.
tungefanya biashara ila umeanzia mbali
umesema milioni saba au?
tungefanya biashara ila umeanzia mbali
Ni kweli kabisa mkuu na inapanda kila siku.Hahahaha .........ardhi ni mali mkuu .....
Duh 70m pamesimama sana ila vidole havilingani.
Utapata tu mteja
Duh 70m pamesimama sana ila vidole havilingani.
Utapata tu mteja
Karibuni jamani nimepunguza makali kama mnavoona hapo juu.
hahahaha, kiwanja cha ukubwa huohuo hapa mjini sehem zingine utakuta 200M-1Bn, ardhi ni mali, ukiikuta sehem ya bure we chukua tu usisite!
Hii industry inahitaji regulator, haiweekani mtu auze kiwanja bei ambayo anaifahamu mwenyewe. Kwani kupima kiwanja shs ngapi mpaka uuze hyo bei??
Bei ya nyumba hiyo m.60
ni kweli mkuu ardhi inapanda thamani kadri muda unavyokwenda mbele me nilinunua ardhi mil 20 miaka 10 iliyopita saiv nauza zaidi ya mil 100[/QUOTE
Unachokisema ni ukweli kabisa na hiyo ndo tunasema value for money. Mimi hii seemu tangu ninunue ni miaka tisa iliyopita kupata hati yenyewe imenichukua 5 years.