Nauza kiwanja chenye hati miliki

Nauza kiwanja chenye hati miliki

Ameshafanya editing ya uzi wake ni 60mil.tumsubir mpaka afkie 10mil.
 
Sure mkuu hivi vingine vinakwaza sana, hv kweli Goba kwa kuuza sq moja 100,000 kumekuwa Manhattan? Kuna nn cha mno huko?

Goba ni pazuri sana aisee, upajui tu. Ipo juu that why hewa yake ipo safi sana. Ina njia nne, ya kwenda makongo juu, mbezi mwisho, tegeta na mbezi beach. Watu wamejenga sana kwa sasa
 
Hakuna cha utapeli hapa ni negotiation tu pia cerrency ni shilling, kwani wewe ulifikiri ni USD???

Huwezi kuuza un planned land tena Goba kwa mil 70!!! hutauza hata ingalikua na tittle manake land Value ya Goba sio hiyo kaka wasikudanganye kama una nia ya kuuza anzia mil 10 lakini kama ni matangazo na kukitembeza kiwanja weka 70m!!
 
Mkuu wewe naona nia yako ni kuharibu tu. Lkn Poa kwa ushauri wako.
 
Sure mkuu hivi vingine vinakwaza sana, hv kweli Goba kwa kuuza sq moja 100,000 kumekuwa Manhattan? Kuna nn cha mno huko?

Ni upuuzi tu hata Manhatan hakuna bei za kipuuzi kama hizo
 
Goba ni pazuri sana aisee, upajui tu. Ipo juu that why hewa yake ipo safi sana. Ina njia nne, ya kwenda makongo juu, mbezi mwisho, tegeta na mbezi beach. Watu wamejenga sana kwa sasa
Nakubaliana na wewe mkuu. Tatizo wengine hawajui Goba iko wapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom