Habari ya kazi waungwana, Nina kiwanja changu kilichopo Goba Mtambani kimepimwa na kina hati miliki, kina ukubwa wa 756 sq m2 Kipo karibu na Barabara yaani Goba Center, Umeme upo Jirani hakuna gharama zaidi za kuvuta umeme, bei yake inaanzia Tshs 30million kwa maelewano zaidi wasiliana kwenye no 0655 450048, Karibuni sana.