Mkuu viwanja Mwasonga bei IPO vipi ? Mfano kiwanja cha 40m*40m ?Kwa watu wanaojitafuta panafaa ingawa makabila ya kule ni mtangirirere, ukila nchale ukikaa vibaya nchale, ukizubaa nchuchumui. Bora kama unajivuta kidogo kununua Mwasonga tu
Kiwanja chake ni mita 14 kwa mita 16
View attachment 3279309
Hapo ni sawa 14.6 metre kwa 16.4 metre ambayo ni 239.4 mยฒ , Lugha nyepesi skwea mita 239Hizo futi ndio square metre ngapi? Kina nyaraka gani? Simu yako haipigi picha?
6500 per 1Mkuu viwanja Mwasonga bei IPO vipi ? Mfano kiwanja cha 40m*40m ?
Kwa puga sijawah kufika nisiwe muongo. Lakin sehem ya bajaj 700 sio mbali mkuuSio kweli mbagala to posta muogope Mungu jmn kah! Izo ni fitna za wazi wazi hakyamungu..... bodaboda ni 1500 stend ad kwa puga bajaji ndo iyo 700 hapana we kaka umeweza ๐๐ฝ๐
Kakitangaze Facebook humu hakuna biashara iliyowahi kutoboa. Wapiga porojo tupo lakini sio watejaKwa reply zenu ad nakata tamaa ๐ฉ mmama wa watu
Pole umekutana na Bwana Pepsi!!Kwa reply zenu ad nakata tamaa ๐ฉ mmama wa watu
Usitie unyonge mkuu usije shangaa anakuja yule jamaa anaesema kikifika 1,000,000 unishtue...Ipo siku utajisikia ninavojisikia... Yan unapata tabu kuuza kitu chako af anakuja mtu analeta fitna
Sawa bna ๐
Nenda tu huko uzaramuni ukajifunze kuchamba na kona zote za waganga halafu unarudi mjini ukiwa na maneno 1000 kwa dakika na connection za ugangaUnazidi kutokomea kusikojulikana ๐น๐น
Huko hapana kwakweli
Elimu yako plizAisee cjui lolote kuusu vipimo vya mita au nini.. ila hatua ni izo 50 ambazo watu wanaita futi
Mi nikushauri ukienda insta na facebook utapata wateja serios.. humu Jf hakuna wanunuziKwa reply zenu ad nakata tamaa ๐ฉ mmama wa watu
Sio kweli, sentimita 100 (mita 1) = sentimita 90 (futi 3)? Mita 1 = futi 3.3Iwapo mita 1= futi 3
Je, futi 48 kwa 54 ni mita ngapi?
Ukichukua 48 gawa kwa 3 jibu ni 16, na 54 gawa kwa 3 jibu ni 18.
Wewe hesabu yako ume-google kimakosa.
๐น๐น๐นNenda tu huko uzaramuni ukajifunze kuchamba na kona zote za waganga halafu unarudi mjini ukiwa na maneno 1000 kwa dakika na connection za uganga