Nauza kiwanja changu hakina udalali

Nauza kiwanja changu hakina udalali

CreatureKH

Member
Joined
May 14, 2021
Posts
42
Reaction score
88
Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga
Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site
Futi 48 kwa 54
Bei mil.3
😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
 
Hizo futi ndio square metre ngapi? Kina nyaraka gani? Simu yako haipigi picha?
 
Aisee cjui lolote kuusu vipimo vya mita au nini.. ila hatua ni izo 50 ambazo watu wanaita futi

Hizo siyo hatua bali ni futi.

Hatua moja ni sawa na mita 1.

Mita moja ni sawa na futi 3.

Kwa hiyo futi 48 gawanya kwa 3 ni sawa na mita 16, na futi 54 gawa kwa 3 ni sawa na mita 18.

Kwa hiyo kiwanja kina ukubwa wa mita 16 kwa 18.
 
downloadfile.png

Unauza eneo ili iweje,nyie ndio huwa mnawaingiza mkenge wasukuma kutoka shinyanga na Tabora,mnawauzia maeneo yaliyo ktk hifadhi wanaishia kufukuzwa Kama umbwa hifadhini
 
Back
Top Bottom