Nauza kiwanja ambacho ndani kina ujenzi

Nauza kiwanja ambacho ndani kina ujenzi

Sisi wengine tupo Chato tutafikaje huko?Weka vipimo acha kujitetea kwa sababu za kitoto.Kodi hata fundi wa kujenga aende na "futikamba" yake akakupimie ujue ukubwa wa eneo lako.
Nikweli mkuu unaweza ukakubaliana navipimo halafu ukakuta kinamapungufu mengine ndomana nikasema kikubwa mtu kufika sait
 
Kama hamna hela simkae kimya yani hivo vipomo navyo hoja
nisaidie ndugu yangu...maana utasema nimemtag mtu wewe njoo eneo la tukio kagua unavyotaka iwe vipimo iwe document ukilizika tafuta mwanasheria wako tumalize[emoji1787][emoji1787]
 
Vipimo ni muhimu sana kwenye uuzaji wa eneo. Ni sawa na mtu kusema nauza gari wakati hujui hilo gari lina ukubwa gani. Vipi kama hilo eneo ni mita 15 kwa 10 si kitakuwa ni kichochoro tu.

Halafu katika dunia ya sasa huwezi kuuziwa eneo bila kujua ukubwa wake. Kwenye mkataba mtaandikishiana vipi? Kiwanja kinapimwa kwa kuangalia vipimo vyake.

Nimemshangaa sana muuzaji kutojua ukubwa wa eneo analouza ni highest level of stupidity sorry to say
nashukuru kaka kwa kunitusi ila mapovu yote haya kuna sehemu nimekuhusisha na biashara yangu?
 
Utauziwaje eneo bila kujua ukubwa wake? Unajua mikataba ya ununuzi wa ardhi inahitaji vitu gani muhimu? Ukubwa wa eneo ndio ina determine hata bei. Hata wakati wa kupewa hati lazima kuwe na vipimo vinavyoonesha ukubwa wa eneo lako. Elimu Elimu Elimu
hiv nikuulize kitu umekuja site ukakosa vipimo au ukakosa majibu ya maswali yako?mbona unanitangulia mkuu unahitaji njoo site jiridhishe ukikosa majibu site ndo uje hapa useme hichi unachosema.....kwani hapa hata nikikutajia kipimo kwani ukija site huwezi kuhakiki?
 
Kwan mkuu kama unahitaji siutaenda sait? Mm ninavojua kununua eneo kunamambo mengi yakuangalia pengine kuliko huo ukubwa kiwanja
asante mkuu kwa kuwaelewesha hawa watu....maana hata nikisema hapa 20x 20 lazima ukija site ujiridhishe kwa kupima tena na kuita majirani wanaonizunguka ujiridhishe huyu ananiuzia hapa ni kwake kweli ukipata jibu hilo kwa majirani na mjumbe wa eneo husika chini ya s/ ya mtaa sasa ndo unatafuta mwanasheria wako wewe sio mimi tunaenda kumaliza simple[emoji1787][emoji1787]
 
Ukiweka tangazo weka details za uhakika sio kupoteza muda wa mtu aende mpaka site wakati kumbe eneo ni kichochoro tu.
JF iliweka mwongozo wa jinsi ya kuweka tangazo jaribuni kurejea. Eneo unauza wewe halafu vipimo nikapime mimi mteja. Mteja anatakiwa ku-verify sio kuanza kupima

Anyway nahisi naongea na watu ambao uelewa wetu umeachana umbali wa mbingu na ardhi
nahisi unatatizo kwenye ubongo wango...sio bure kama ni me basi unatatizo kubwa sana la kiherere na kama ni ke kuwa makini unaeza zalishwa watoto wengi kwa shobo....kuwa makini mkuu hii ni biashara ya watu hata uone tangazo zuri vip ni lazima ufike eneo la tukio kujiridhisha ....punguza muwasho kuna ndizi [emoji41][emoji40]
 
Kwenda zako

dalali njaa. Mmmeshindwa ujenzi mnataka kuja kukuuzia matakataka hapa. Kwanza wewe ni tapeli utauzaje kiwanja hakina vipimo. JINGA KABISA, ELIMU HUNA HELA HUNA AKILI HUNA, nimejaribu kukuelekeza unaleta matusi. TAPELI MKUBWA. Moderator mulika huyu tapeli
 
weka size ya eneo acha janjajanja,

madalali bana
mimi sio dalali dada....alafu ujanja unakujaje hapo!? hata nikisema 50 x 50 si lazima uje kuhakiki kwenye eneo au utalipia ukiwa huku jf?....nasisitiza mwenye huitaji wa eneo atanipigia ataomba kuja eneo husika na hivyo vyote mnavyohoji vitapatikana hapo kwenye eneo...karibu dada kwa kuona[emoji23]
 
Achana nae kwanza mwenye hela hana mda wakubishana humu jf bwana inawajuaji kama nn
 
Mkuu milioni ishirini nipesa ndefu hakuna mtu atatoa kirahisi hivo
aisee...unajua inashangaza yaani unatapeliwaje hela kirahisi hivyo wakati option zote za usalama kwa ajili ya hela yako nimekupa....1.njoo site ukague eneo 2.ukilizika uliza majirani ninaopakana nao kwenye eneo ili ujiridhishe mimi ni alangu au ala 3.tafuta serikali ya mtaa husika nenda kaulizie hilo eneo mmiliki ni nani 4.ukishapata majibu ya uhakika kuwa mimi ndo mmiliki halali 5.tafuta mwanasheria wako twende tukauzuane unapopaamini wewe.....sasa hapo utapeli au kuatapeliwa kunakujaje au unatapeliwa vipi?!
 
Nilikuwa namjibu huyo mtu anaesema utawatapeli kama itakuwa ngumu hum tafuta madalali wakutafutie wateja hapo suka
 
mimi sio dalali dada....alafu ujanja unakujaje hapo!? hata nikisema 50 x 50 si lazima uje kuhakiki kwenye eneo au utalipia ukiwa huku jf?....nasisitiza mwenye huitaji wa eneo atanipigia ataomba kuja eneo husika na hivyo vyote mnavyohoji vitapatikana hapo kwenye eneo...karibu dada kwa kuona[emoji23]

una utapeli wa kizamani sana, icho kiwanja cha ukanjanja kauzie ndugu zako
 
sasa jamaa unashidwa vipi kupima ata kwa miguu chap,ukimtajia mtu kipimo ndo atajua aje au asije,easy.haujui mtu anatoka wapi,anaacha shughuli zake,anatumia gharama za kukufikia.details zikiwa vizuri utaona serious buyer watakucheki tu
 
Aise kweli mambo nimoto
 
Vipimo ni muhimu sana kwenye uuzaji wa eneo. Ni sawa na mtu kusema nauza gari wakati hujui hilo gari lina ukubwa gani. Vipi kama hilo eneo ni mita 15 kwa 10 si kitakuwa ni kichochoro tu.

Halafu katika dunia ya sasa huwezi kuuziwa eneo bila kujua ukubwa wake. Kwenye mkataba mtaandikishiana vipi? Kiwanja kinapimwa kwa kuangalia vipimo vyake.

Nimemshangaa sana muuzaji kutojua ukubwa wa eneo analouza ni highest level of stupidity sorry to say
Means kuna uwezekano hilo eneo likawa lipo ndani ya hifadhi ya barabara
 
Back
Top Bottom