Nauza kiwanja ambacho ndani kina ujenzi

Nauza kiwanja ambacho ndani kina ujenzi

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,729
Reaction score
4,999
kiwanja kipo kimara suka/njia ya kuelekea Golan kina nyumba ndani yake ya vyumba 3 na jiko haijaisha ipo kwenye linta na foundition ya kujenga nyumba ya vyumba 6 na frem 2 tayar zimejengwa zipo kwenye linta na shimo futi 12 tayr limeshajengwa
Ukubwa ni 22 x 24 / 10.30 x 20 ni hatua 1 tu kuingia barabara iendayo Golon ni mahala pa zuri kwa biashara.
Umeme na maji vipo nje
mali halali ikishajiridhisha tunauziana popote kwenye sheria
Mimi sio dalali ndo mwenye mali

Bei 18m maongezi yapo
065-422-4700View attachment 1759262View attachment 1759263View attachment 1759260View attachment 1759259View attachment 1759261View attachment 1759264View attachment 1759266View attachment 1759265View attachment 1759267
 
Attachments

  • IMG-20210327-WA0026.jpg
    IMG-20210327-WA0026.jpg
    54.7 KB · Views: 11
Kama hamna hela simkae kimya yani hivo vipomo navyo hoja
Vipimo ni muhimu sana kwenye uuzaji wa eneo. Ni sawa na mtu kusema nauza gari wakati hujui hilo gari lina ukubwa gani. Vipi kama hilo eneo ni mita 15 kwa 10 si kitakuwa ni kichochoro tu.

Halafu katika dunia ya sasa huwezi kuuziwa eneo bila kujua ukubwa wake. Kwenye mkataba mtaandikishiana vipi? Kiwanja kinapimwa kwa kuangalia vipimo vyake.

Nimemshangaa sana muuzaji kutojua ukubwa wa eneo analouza ni highest level of stupidity sorry to say
 
Utauziwaje eneo bila kujua ukubwa wake? Unajua mikataba ya ununuzi wa ardhi inahitaji vitu gani muhimu? Ukubwa wa eneo ndio ina determine hata bei. Hata wakati wa kupewa hati lazima kuwe na vipimo vinavyoonesha ukubwa wa eneo lako. Elimu Elimu Elimu
 
Watu uelewa tunatofautiana wengi tu hawajui ukubwa wamaeneo yao zaidi yamipaka mm maana yangu nikwamba kwavyovyote hakuna mtu wakutoa pesa bila kufika saiti hataungejua ukubwa waeneo bado bilakufika huwezi kuamua
 
Kwan mkuu kama unahitaji siutaenda sait? Mm ninavojua kununua eneo kunamambo mengi yakuangalia pengine kuliko huo ukubwa kiwanja
 
Kama ujui ukubwa wa eneo lako basi jitafakari mara mbili kwenye suala la uelewa na utambuzi katika ubongo wako. Maana kama unaweza ku-access mpk mtandao halafu unashindwa kujua vitu muhimu kama hivyo basi kuna walakini sehemu. Pia uliuziwaje eneo bila kuwa na vipimo? au mligawanyiwa viwanja vya urithi kutoka kwenye mwembe ule hadi kwenye mkorosho
 
Ukiweka tangazo weka details za uhakika sio kupoteza muda wa mtu aende mpaka site wakati kumbe eneo ni kichochoro tu.
JF iliweka mwongozo wa jinsi ya kuweka tangazo jaribuni kurejea. Eneo unauza wewe halafu vipimo nikapime mimi mteja. Mteja anatakiwa ku-verify sio kuanza kupima

Anyway nahisi naongea na watu ambao uelewa wetu umeachana umbali wa mbingu na ardhi
 
Nina imani ww nimtanzania tena pengine ni msomi sikatai unachosema napengine unazungumzia kitalaam zaid ninachosema mm nikwamazingira yawatanzania wengi hata huko uliko labda kama uko maeneo yaliyopimwa lakini kama nihuku kwetu wengi hawajui vipimo vyamaeneo yao sisemi sahihi kutokujua ila nasema haikuzuii kuchukua eneo lajamaa au kama unahitaji sana kujua vipimo vyake ili upate kuamua niambie nimtafute huyo mtu nikakupimie au vp mkuu
 
Ukiweka tangazo weka details za uhakika sio kupoteza muda wa mtu aende mpaka site wakati kumbe eneo ni kichochoro tu.
JF iliweka mwongozo wa jinsi ya kuweka tangazo jaribuni kurejea. Eneo unauza wewe halafu vipimo nikapime mimi mteja. Mteja anatakiwa ku-verify sio kuanza kupima

Anyway nahisi naongea na watu ambao uelewa wetu umeachana umbali wa mbingu na ardhi
Usijari mkuu nisamehe kwauelewa wangu wa aridhi niombee namm mkuu sijapenda uelewa wangu uwe kiwango hiki
 
Vipimo ni muhimu sana kwenye uuzaji wa eneo. Ni sawa na mtu kusema nauza gari wakati hujui hilo gari lina ukubwa gani. Vipi kama hilo eneo ni mita 15 kwa 10 si kitakuwa ni kichochoro tu.

Halafu katika dunia ya sasa huwezi kuuziwa eneo bila kujua ukubwa wake. Kwenye mkataba mtaandikishiana vipi? Kiwanja kinapimwa kwa kuangalia vipimo vyake.

Nimemshangaa sana muuzaji kutojua ukubwa wa eneo analouza ni highest level of stupidity sorry to say
You are right
 
Nikweli mkuu unaweza ukakubaliana navipimo halafu ukakuta kinamapungufu mengine ndomana nikasema kikubwa mtu kufika sait
 
Back
Top Bottom