Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 920
- 2,956
Mm ua naingia jf na hik kwaio tengua kaul yako kwa mwambaSimu yoyote yenye uwezo wa kuingia jf basi pia ina camera na inatoa picha fresh, huwez kuingia jf na kitochi.
Mm ua naingia jf na hik kwaio tengua kaul yako kwa mwambaSimu yoyote yenye uwezo wa kuingia jf basi pia ina camera na inatoa picha fresh, huwez kuingia jf na kitochi.
ndio boss. Tunawasiliana naye, Mungu ambariki sana
Kama bado unahitaji kazi nipigie kwa namba hii: 0686838676ndio boss. Tunawasiliana naye, Mungu ambariki sana
nimetengua mkuu.Mm ua naingia jf na hik kwaio tengua kaul yako kwa mwambaView attachment 1844697
Na Mimi nahitaji mkuu naomba nikupigieKama bado unahitaji kazi nipigie kwa namba hii: 0686838676
Jamani tupendane kama unakua na taarifa ya kazi fungukeniNa Mimi nahitaji mkuu naomba nikupigie
Pole na mitihaniNauza kitanda changu(bila godoro) size ni 5*6 ni mbao ngumu. Nimenunua miezi 3 tu iliyopita kwa sh 170,000 mtu akija na 130k namuachia. Sina simu ya kupigia picha ila bado kipya,location kigamboni dar.
Hali imekuwa mbaya,itanisaidia wakati nasubiri hata kibarua(naamini nitapata soon kwa uwezo wa Mungu).
Kama sio mnunuzi sio lazima sana ucomment,you may want to reserve your ink for future use. ASANTENI NA KARIBUNI
Ikiwa unaishi maeneo ya Dar nipigie.Na Mimi nahitaji mkuu naomba nikupigie