mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Ni matumizi mabaya ya mbaoHata bure hutaki?
Ni matumizi mabaya ya mbaoHata bure hutaki?
Ahaaa, sitakii, kitanda cha ajabu kuliko hata vile Vya boardingHata bure hutaki?

Nilipokiona nilishtuka nikajua Jeneza kumbe ni kitandaBaada ya maisha ya hapa dar kuzidi kuwa magumu kwa upande wangu nimeamua niuze Kitanda changu nimekilalia mwaka mmoja tu
Bei ni 200000 sipunguzi. Ukikihitaji nakuletea ulipo..
NB: kama sio mnunuzi usichangie uzi huu.
View attachment 1109794
HahahaUmesema hupunguzi. Hupunguzi kitanda au bei?