See umesema ufanye biashara zako mean wewe ni Dalali na hivyo vitu wa kumuuzia ni mwanamuziki huwezi mpata kwa bei hiyo.... Pole Sana ninalo langu la Mtumbakwani nani amekuuliza? kama umezoea za wachina ni ww. niache nifanye biashara, ni mali zangu. shwain
Nilidhani mimi ndio huenda nimejichanganya,gallatone inauzwa 100,000 na zipo nyingi hata pale Sinza Mugabe kuna mzairwaa mmoja anauza vitu vilivyotumika na hizo gitaa zipo anauza 120,000 hadi laki moja anakamata.Hilo Gitaa ni Gallatone hilo dukani ni laki na nusu hadi 120,000 wewe unauza bei twice nahisi wewe si mwanamuziki bali ni Dalali tu Gallatone used tayari ni chini ya laki...
yapUna risiti lakini mkuu!??? Za uliponunua awali...
si ukanunue sasa!Nilidhani mimi ndio huenda nimejichanganya,gallatone inauzwa 100,000 na zipo nyingi hata pale Sinza Mugabe kuna mzairwaa mmoja anauza vitu vilivyotumika na hizo gitaa zipo anauza 120,000 hadi laki moja anakamata.
Mh mkuu kwa haya majibu mimi najitoa...ninahitaji guitar but I think nitaenda physically hapo Sinza nikacheki.si ukanunue sasa!
m not business man...im just selling my stuff dude..kama sio JF basi Arusha Mailing, or from fellow musicians. im not up for acting how u want. shwainMh mkuu kwa haya majibu mimi najitoa...ninahitaji guitar but I think nitaenda physically hapo Sinza nikacheki.
Kama kweli unafanya biashara mkuu ushauri wangu usahau wateja wa JF hao unaowaita shwain...
Pili improve on ur customer service hutofika mahali kwa lugha hiyo mkuu.
Hiyo galaton pale city sound ni laki 150 , na agrey music ni laki 150 kwa maneno sangA pale uhuru music ni 120. Kijana acha tamaa kuna wanamuziki humuHilo Gitaa ni Gallatone hilo dukani ni laki na nusu hadi 120,000 wewe unauza bei twice nahisi wewe si mwanamuziki bali ni Dalali tu Gallatone used tayari ni chini ya laki...
hainihusu mkuu🙂Hiyo galaton pale city sound ni laki 150 , na agrey music ni laki 150 kwa maneno sangA pale uhuru music ni 120. Kijana acha tamaa kuna wanamuziki humu
tena jitoe roho kabisa mkuu!!Mh mkuu kwa haya majibu mimi najitoa...ninahitaji guitar but I think nitaenda physically hapo Sinza nikacheki.
Kama kweli unafanya biashara mkuu ushauri wangu usahau wateja wa JF hao unaowaita shwain...
Pili improve on ur customer service hutofika mahali kwa lugha hiyo mkuu.
kama kujua maduka ya vyombo ndio kujua muziki...mie simo🙂Hiyo galaton pale city sound ni laki 150 , na agrey music ni laki 150 kwa maneno sangA pale uhuru music ni 120. Kijana acha tamaa kuna wanamuziki humu
asset yoyote ikishatumika lazima itashuka thamani labda iwe ardhi tuHiyo galaton pale city sound ni laki 150 , na agrey music ni laki 150 kwa maneno sangA pale uhuru music ni 120. Kijana acha tamaa kuna wanamuziki humu
Mbona Lulu hajashuka Thamani!asset yoyote ikishatumika lazima itashuka thamani labda iwe ardhi tu
asset yoyote ikishatumika lazima itashuka thamani labda iwe ardhi tu