Nauza Kampuni/ Nakaribisha wakurugenzi

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Mapema mwaka jana nilisajili kampuni -Limited by Shares kwa ajili ya kutaka kufanya biashara moja hivi ya tender. Lakini bahati mbaya sikuweza kufanikiwa. Sasa nimeamua kuiuza kampuni hiyo kwa mtu anayeihitaji.
- Ina wakurugenzi wawili tu kwa sasa
- Ina TIN number
- Ina leseni ya kuendesha biashara ya stationery, mojawapo ya biashara inazoweza kufanya

USIJALI SANA MASUALA YA BEI TUTAONGEA TU
 
Ina Asets zina thamani gani? Imewahi kushinda tender zipi and wapi? what does your company Worthy?, Office Locations? Ime operate kwa muda gani?, Kodi imelipwa kwa muda gani?
 
Post na Financial Statements!!! Ndo tujue value ya kamouni yako, huwezi kuuza tu kama nyanya...
 
Ni dhahiri haelewi nini about Balance sheet, He has a good idea.......Selling a company with only TIN Number, Wakurugenzi wawili and the compay Being Limited By Share............Lets Hear from the seller, Convince Us please
Inabidi tuone balance sheet ya hiyo kampuni.
 
Ni dhahiri haelewi nini about Balance sheet, He has a good idea.......Selling a company with only TIN Number, Wakurugenzi wawili and the compay Being Limited By Share............Lets Hear from the seller, Convince Us please

Kweli kabisa man.
 
Hamjamuelewa huyo nafikiri anauza kiosk chake au duka lake ambalo alifungua kama kijiwe vilvile cha kuchukulia tender za kusambaza madaftari bahasha na kalamu kwenye mashule na mahotelini kwa ajili ya mikutano na si kampuni. Kama ni kampuni aweke vielelezo vyote hapa si tu kusema nauza kampuni anajua kweli maana ya kampuni huyu, hahahah!:A S-coffee:
 
May be your company owe revenue expenditure, so you wanto to adopt your burdens:A S-cry:
 
Kwa kweli anahitaji msaada huyu bwana! Hivi anaelewa nini maana ya Limited by Share? Pia anasema 2 Directors lakini anayeuza ni yeye peke yake kwanini asiseme tunauza kampuni?

Bila vielelezo imekula kwako na ki-kampuni chako uchwara!
 
Ina Asets zina thamani gani? Imewahi kushinda tender zipi and wapi? what does your company Worthy?, Office Locations? Ime operate kwa muda gani?, Kodi imelipwa kwa muda gani?

Tafadhali mkuu naomba jibu hayo maswali then tuendelee ,
 
Hello,
Kama nilivyosema ni kampuni mpya kabisa, haijafanya returns zozote maana haijatimiza mwaka. Ingefaa kwa mtu ambaye hataki kupata hassles za kusajili kampuni. Kampuni haina assets zozote na wala haijawahi kufanya biashara kuweza kutengeneza huo hizo mizania mnazosema.

Nashukuru sana kwa michango yenu ingawa hajanisaidia kwenye shida niliyosema, maaana pamoja na mapungufu ya maelezo yangu lakini nina imani wote nyinyi mlielewa ''mstari wa chini'' ni kuwa nauza kampuni.

Kwa hiyo lengo ni kwa ajili ya mtu anayefikiria kuanzisha kampuni sasa hataki huo mlolongo wa urasimu.
 
hii ni mbinu mpya ya kusaka hela.
Unasajili kampuni halafu unaiuza. Lazima utaiuza kwa cha juu.
Gharama kwa mnunuzi zinaweza kuwa pale pale labda usumbufu ndio ataepuka. Ila nafikiri
Jina la kampuni, location etc.. Lazima viwepo kwenye memorandum of association. hebu toa mwongozo hapo.
 
Kwa kweli anahitaji msaada huyu bwana! Hivi anaelewa nini maana ya Limited by Share? Pia anasema 2 Directors lakini anayeuza ni yeye peke yake kwanini asiseme tunauza kampuni?

Bila vielelezo imekula kwako na ki-kampuni chako uchwara!

Kwa sasa directors ni yeye na mkewake (baba mama management style), ndo maana anauza yeye peke yake, ni maoni tu.
 
Poor you. There is nothing to sell. Kama kampuni haina assets, wala haijawahi kuafanya biashara meaning haina hata mteja mmoja wa kuielezea for that matter you can not even say you re selling the company's Goodwill.

Ushauri: Dont sell the Company not even shares coz haina thamani kwa sasa. Jaribu kuitafutia bishara kwanza ikisha-pick tafuta sasa mtu umuuzie hisa ili mu-expand capital inaweza kukutoa badae.
 
Back
Top Bottom