little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
Haha.... Niwatamu sana.... ana lots of nutrients ... jaribudu haya ila mimi huyo hapana...anafanana na joka!!ila kila la heri kaka
Nina kambale wenye umri wa miez minne na Nusu, waliofikia uzito wa kilo moja kila mmoja. Bei ni shilingi 6000/=
Nipo Tabata Kimanga Mwisho,kwa mawasiliano zaidi piga namba za simu zifuatazo:
0688 927052
0654 403458
ASANTENI
hao kambale wabichi o wamekaangwa?
Inategemea na kiasi gani unachukuahome delivery vipi?
Elekeza vizuri nije kuchukuwa mambo ya simu simu sitaki!Nina kambale wenye umri wa miez minne na Nusu, waliofikia uzito wa kilo moja kila mmoja. Bei ni shilingi 6000/=
Nipo Tabata Kimanga Mwisho,kwa mawasiliano zaidi piga namba za simu zifuatazo:
0688 927052
0654 403458
ASANTENI
Haha.... Niwatamu sana.... ana lots of nutrients ... jaribu
du haya ila mimi huyo hapana...anafanana na joka!!ila kila la heri kaka