INAUZWA Nauza Jiko na Water dispenser

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
1,944
1,712
Wakuu Ni matumaini yangu wote ni wazima kabisa.

Nauza Jiko la njia nne ambazo tatu ni za gas moja ndo umeme kwa 280000 tuu fixed price.

Pia nauza Water dispenser aina ya Bruhm kwa 160000 tuu fixed price.

Vyote viko katika condition nzuri kabisa

Karibuni

0739073206

IMG-20210224-WA0000.jpg
IMG-20210224-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom