Nauza IPhone 6

Nauza IPhone 6

biashara yakooo au wewe ndio dalalli? kweli magu kabana hadi wadada mmekua madalali wa simu fake used?,..achautapeli simu fake hiyoo, mimi mwenyewe ni mtumiaji mzuri wa vifaa vya apple ila hiyo ni feki
 
Wakuu heshima kwenu,
Nabwaga hiyo iPhone 6s 64gb

Used in good condition

800k

Call 0714547830
Dar es salaam
b5831015b8fcdaa9e29ff8186cf6c046.jpg

bd93e02d9751c7dc24f1b496b0d4a03c.jpg

e768d073dda1124734c667c6708a6dfa.jpg

0c8016463b0f79207bae2d719dd249d3.jpg

invest what you are willing to lose
 
Mkuu n Og au?, mbona charging port yake siyo kama zile nyingine za Apple mkuu??
 
biashara yakooo au wewe ndio dalalli? kweli magu kabana hadi wadada mmekua madalali wa simu fake used?,..achautapeli simu fake hiyoo, mimi mwenyewe ni mtumiaji mzuri wa vifaa vya apple ila hiyo ni feki
Mkuu tukutane sehem ukague mzigo, au pinga Kwa fact

Wanaonijua wala hawawez niita tapeli, nimeuza sana sim Jf tangu 2014 nauza sim huku

Sema nimeacha kutumia fake name sasa natumia jina langu halisi

Ni check Pritty wa joseph

invest what you are willing to lose
 
Mkuu tukutane sehem ukague mzigo, au pinga Kwa fact

Wanaonijua wala hawawez niita tapeli, nimeuza sana sim Jf tangu 2014 nauza sim huku

Sema nimeacha kutumia fake name sasa natumia jina langu halisi

Ni check Pritty wa joseph

invest what you are willing to lose
Hah, ndio wewe!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom