Kwa kweli sijui kama inatumia chip au Wi-Fi only. But it's the very latest one that came out in November of last year. 16GB.
Mimi kwangu nina Wi-FI na nilipoinunua niliitoa kwenye boksi lake, nikaiwasha tu na kuanza kuitumia na ikafanya kazi bila mizengwe yoyote. Hakuna cha sijui weka nini wala nini.
Huku Bongonyoso mambo ni tofauti. Kila ninayemwuliza hanipi maelezo ya kuridhisha....mara huyu akwambie sijui weka chip...mara huyu akwambie sijui itabidi ifunguliwe iwekewe sijui nini....I mean, what for? *** it. I don't wanna go through all that hassle.
Heri niipige bei tu.