Punguza kidogo mkuu uchumi umesheki sana ujueNauza, Hitachi Electric Oven with convection and rotisserie function.
Rangi ni Nyeusi, na haijatumika bado.
Price: 200,000/=
Kwa mazungumzo zaidi, karibuni DM.
View attachment 1174509View attachment 1174510
Punguza kidogo mkuu uchumi umesheki sana ujue
Kabla ya kuja Dm,ivi iyo ni oven ama ni Microwavekaribu DM kwa mazungumzo zaidi.
ni Oven bossKabla ya kuja Dm,ivi iyo ni oven ama ni Microwave
Ok,basi haitonifaa iyoni Oven boss
Ok,basi haitonifaa iyo
Hivi hiyo nyumbani tunatumia kuchoma nyama na nini?