Hahahahaaa Dah!!!!!!Picha umepiga ukiwa umalala sakafuni ? .Embu piga picha kama unauza.
Unaweza kukosa wateja kwa picha moja.
Sichukui mkuu hiyo katafute tv sehemu nyingineLaki tano na nusu vipi unachukua bwashee?
sawa! Washtue wana watakuchangia,nilitaka loto.Sichukui mkuu hiyo katafute tv sehemu nyingine
Poa poasawa! Washtue wana watakuchangia,nilitaka loto.
Pole kakaUkiwa huna hela ndo vitu vya bei rahisi vinajitokeza! Juzi tuu nimepigwa nchi 43 kwa 450k.
Ni balaa 😀😀Njanuary😆