TV4Sale Nauza Hisense Smart TV 65 inch

TV4Sale Nauza Hisense Smart TV 65 inch

Huuu uchafu wauzie washamba. Unakazana dungu dungu... Una ushamba mwingi sana. Hiyo kawauzie wa kijijini.
Piga picha tuone uliyobandika ukutani ili uthibitishe kuwa hiyo Hisense ni taka taka. Na kama hutkuwa na zifuatazo na wewe utakuwa na taka taka ukutani
TCL
LG
SAMSUNG
ACER
SONY
HAIER

na nyingine ambazo sijaziweka
 
Ona hili chuzi KUJIPA ukubwa usiokuwa nao kwenye ulimwengu wa screens. Leta picha acha kupayuka hapa. Nieweka orodha hapo. Kama upo nje ya hizo wewe ni FAMBA kama mafamba mengine. Na ukute hata hiyo screen yenyewe huna bado "unafugwa" na unagikbania remote na watoto wa aliye "kufuga"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom