Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,080
- 93,006
[emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili .Ila kama mfuko unasoma poa hiki unamnunulia mwanao cha kwendea shule. Yaani unakua umemrahisishia hadi kuscore
[emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili .Ila kama mfuko unasoma poa hiki unamnunulia mwanao cha kwendea shule. Yaani unakua umemrahisishia hadi kuscore
Kwanini bro[emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili .
Yes unachaji tu nakuondoka, havina engine ya mafuta kabisa ,,kwa sasa havina hata usajili ila kwa kujihami ukiwa na leseni yenye daraja A ...umemaliza.
Kuna vingine vipana zaidi hapo pa kuwekea miguu wanawekea mpaka kuni. Kama kuni inaruhusiwa sidhani kama wewe kuweka kisanduku utakatazwa.
Pia nafikiri havina maswala ya kodi au leseni. Vinahesabiwa baiskeli.
Ni kuchaji na kuondoka mkuu. Hakihitaji leseni wala bima. Unatembea tu.
Kizuri kwa town trips au wikiend flan hivi kubarizi upepo.
[emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili .