Nauza hii kitu bei mbashara kabisa!

Nauza hii kitu bei mbashara kabisa!

we we we acha bhange zako, unaona hayo maneno yanashabihiana kweli!!!!? mubashara ni neno limetoholewa kutoka neno la kiarabu "mubasher"

Hivi huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga???
Hajakosea sana mkuu, sema hajui tu maana ya "kutohoa " alidhani ni kutafsiri au limemaanisha. Ila mubasher likimaanisha live, hayuko mbali.
 
Lakini pia, si kila neno tulitumialo umma limeshatoholewa. Kutohoa ni jukumu la taasisi husika na uma kulitumia ni hatua tu. Lazima kuwe na hitaji lisilo na mbadala kwa neno kutoholewa, mfano tukiwa na mbadala wake ktk lugha zetu za kibantu hatutavuka mipaka. Ni kanuni hiyo.
 
Hivi unajua maana ya neno "mubashara"???
Kuna shida sana pale watu wanapotumia maneno bila kujua maana yake
Kuna tatizo la kudakia na kuyatumia maneno ndivyo sivyo,hata clouds FM wamelibadilishia matumizi hilo neno
 
maneno ya kiarabu ni nadra sana kukutana na vowels kama E na O. mara nyingi ukikutana na neno la kiarabu lenye vowel hizo ujue na lenyewe limetoholewa au ni makosa ya kiuandishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom