Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,629
Mkuu hebu waeleze sahv kila kitu mubashara.... Sizani km wengi wao wanaelewa maana yake....Hivi unajua maana ya neno "mubashara"???
Kuna shida sana pale watu wanapotumia maneno bila kujua maana yake
Hilo neno Mubashara linavyosika masikioni linafanana na Mujarab wengi wanalichanganya kwa muktadhi huo.Elimu zaidi inahitajika kulifafanua neno MunasharaHivi unajua maana ya neno "mubashara"???
Kuna shida sana pale watu wanapotumia maneno bila kujua maana yake
we we we acha bhange zako, unaona hayo maneno yanashabihiana kweli!!!!? mubashara ni neno limetoholewa kutoka neno la kiarabu "mubasher"Neno MUBASHARA limetoholewa kutoka neno LIVE ....
MUBASHER...... kiarabu cha wapi hicho?we we we acha bhange zako, unaona hayo maneno yanashabihiana kweli!!!!? mubashara ni neno limetoholewa kutoka neno la kiarabu "mubasher"
Hivi huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga???
Mubashara ni neno lililoazimwa kutoka lugha ya kiarabu na maana yake ni moja kwa moja au ana kwa ana na kwa kizungu wanaita "live".Neno MUBASHARA Nadhani limetoholewa kutoka neno LIVE yaani wazi(bila chenga) kabisa kwa muda muafaka.
Mkuu mbona sijaona na meza ya kusomea magazeti?
Umewahi kuitumia kwa muda gani?
Mpya au used?
Weka bei.
kiarabu cha arabuniMUBASHER...... kiarabu cha wapi hicho?
duh. kumbe
Labda ungesema unatumia hiyo kitu mubashara, vinginevyo nimwite kifimbo cheza wa BAKITA
Kama maana ndiyo hiyo kakosea wapi ?Mubashara ni neno lililoazimwa kutoka lugha ya kiarabu na maana yake ni moja kwa moja au ana kwa ana na kwa kizungu wanaita "live".
Yupo sahihi, MUBESHER ni neno la Kiarabu lenye kumaanisha LIVE. Unaposema KUTOHOA maana yake neno limochomolewa kwenye mzizi wa neno lingine.MUBASHER...... kiarabu cha wapi hicho?
Kweli mkuuHivi unajua maana ya neno "mubashara"???
Kuna shida sana pale watu wanapotumia maneno bila kujua maana yake
SureMubashara ni neno lililoazimwa kutoka lugha ya kiarabu na maana yake ni moja kwa moja au ana kwa ana na kwa kizungu wanaita "live".