Nauza green beans

mkola13

New Member
Jun 15, 2017
3
1
Habari za j2 wanajf
Mimi ni mkulima wa maharage machanga/maharage ya kijani almaarufu kama GREEN BEANS na pia nauza kwa anayehitaji karibu nikuhudumie. Kg 1 ni tsh 2000 bei inapungua kulingana na wingi wa mzigo pia tunafanya packaging kwa watu wa supermarket. KARIBUNI SANA pia tunatuma mikoani.
Screenshot_2017-06-13-13-44-34-1.png
Screenshot_2017-06-13-13-44-24-1.png
 
jamani wakuu msaada
nimelima maharage machanga bado kama Wiki moja kwa mavuno.
naulizia wapi naweza kupata soko nikapata faida.? Nipo Arusha mbuguni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom