Mkuu usiuze godoro, kama ni shida ya 70 tu natumaini kuna ndugu na jamaa wenye uwezo kabisa wa kukusaidia kuipata, sidhani kama ni pesa kubwa kiasi ikwamishe matibabu japo sijui hali yako ikoje ila jitahidi kutafuta namna nyingine ya kupata hiyo 70. Usiuze usingizi huo