Nauza Gari yangu mpya IST

BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,743
4,227
make:Toyota IST
Registration: DQG
insurance: premium/comprehensive to April 2020
Year :2004
Cc: 1290
Kms :30000
Purpose: commercial vehicle
Engine :VVTI
Clean Seats
New Tires
Music :Radio/cd
Full Documents (File)
Fuel :petrol
Transmission: Auto
Seating Capacity 5
Imported From Japan
Jack
Spare Tire
Wheel Spanner
In immaculate Condition
Price: 10.9
Only serious buyers should contact
Gari Ipo Dar

0764931111
IMG-20190719-WA0047.jpeg
IMG-20190719-WA0048.jpeg
IMG-20190719-WA0044.jpeg
IMG-20190723-WA0053.jpeg
 
Gari za uber zipo pale quality plaza zinauzwa kwa bei isiyozidi 7 mil.
Hii biashara imewaingiza wengi mkenge na wamejikuta wakiambulia hasara tu.
Mjuaji wa gari hawezi nunua gari iliyokwishafanya biashara ya uber kwa milion 10 mkuu samahani lakini huo ndio ukweli.
 
kwanini mnaziita gari za uber,? naombeni mnifahamishe
 
samahani kwa swali nje ya uzi..

why gari nyingi za uber zinauzwa baada ya miezi mitatu hadi sita baada ya kununuliwa? je ukitest biashara haileti hesabu nzuri

Hamna faida kaka, labda uendeshe mwenyewe, na ni ili upate hela za chakula na vitu vidogo vidogo kama utaweza, na hapo subiria service ya kufa mtu. Hii ni kama huna kazi mjini, kujiongezea kipato badala ya kukaa miti mirefu. Na ukimpa dereva imekula kwako, hakuna cha hesabu wala nini zaidi ya kulundikiwa mafaini ya traffic na zile 25% za Uber, na gari kuharibika sana sana, utasaga meno...Tatizo rate za uber/taxify/ping etc ni ndogo mno mno...
 
Gari za uber zipo pale quality plaza zinauzwa kwa bei isiyozidi 7 mil.
Hii biashara imewaingiza wengi mkenge na wamejikuta wakiambulia hasara tu.
Mjuaji wa gari hawezi nunua gari iliyokwishafanya biashara ya uber kwa milion 10 mkuu samahani lakini huo ndio ukweli.
siyo kweli. Ninazo mbili...nilipata shida na madereva mwanzoni...sasa hivi hali imetulia baada ya moja kumuajiri mwanmke..hakuna gari ya uber/taxify asiyeingiza chochote..ila ukipata dereva mshenzi lazima utajuta.All in all hakuna biashara iliyo rahisi....labda ya Ontario au D9
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom