So kila mwaka utakua unamlipa elfu 85 sio?Nipe mkataba iyo gari nikuletee 170,000 kwa miaka miwili nicheki 0788307679 tufanye kazi.
So kila mwaka utakua unamlipa elfu 85 sio?
Yaani 170,000/2yrs=85,000.





aaah, sasa nikiinunua halafu nikaombe mamlaka inibadilishie iwe private inagharimu kiasi gani?huoni plate number nyeupe hiyo gari ya biashara na sio private kama zile nyingine zenye plate number ya njano........
10,000/= kama sikosei...aaah, sasa nikiinunua halafu nikaombe mamlaka inibadilishie iwe private inagharimu kiasi gani?
Hapana mkuu plate no ni elfu 15 kwa kibao kimoja mbili elfu 30 tena lazima itoke kwenye commercial ije private10,000/= kama sikosei...
make:Toyota IST
Registration: DQG
insurance: premium/comprehensive to April 2020
Year :2004
Cc: 1290
Kms :30000
Purpose: commercial vehicle
Engine :VVTI
Clean Seats
New Tires
Music :Radio/cd
Full Documents (File)
Fuel 😛etrol
Transmission: Auto
Seating Capacity 5
Imported From Japan
Jack
Spare Tire
Wheel Spanner
In immaculate Condition
Price: 10.9
Only serious buyers should contact
Gari Ipo Dar
0764931111View attachment 1160621View attachment 1160622View attachment 1160623View attachment 1160625
Naaam!siyo kweli. Ninazo mbili...nilipata shida na madereva mwanzoni...sasa hivi hali imetulia baada ya moja kumuajiri mwanmke..hakuna gari ya uber/taxify asiyeingiza chochote..ila ukipata dereva mshenzi lazima utajuta.All in all hakuna biashara iliyo rahisi....labda ya Ontario au D9
Kitu kimesimamia kucha. Je ilikuwa inafanya biashara gani au ilkuwa ya matumizi binafsi, maana naona plate namba ni nyeupe.
Alafu naona ni kms 30000 tu, je ulinunua kiwandani ukalitumia au ulinunua used.
samahani kwa swali nje ya uzi..
why gari nyingi za uber zinauzwa baada ya miezi mitatu hadi sita baada ya kununuliwa? je ukitest biashara haileti hesabu nzuri
Una uzoefu ghan wa kutumia gar acha kukatishaaa watu tamaa mwache mteja aje kuangalia gariGari za uber zipo pale quality plaza zinauzwa kwa bei isiyozidi 7 mil.
Hii biashara imewaingiza wengi mkenge na wamejikuta wakiambulia hasara tu.
Mjuaji wa gari hawezi nunua gari iliyokwishafanya biashara ya uber kwa milion 10 mkuu samahani lakini huo ndio ukweli.
kwa mwenye 9m
Toyota ist DQC
Mwaka 2005
1290cc
Hahahaha wewe unamfahamu Ontario personally bila shaka hahahahahaaHakuna kitu kinaitwa biashara ya Ontario