Kumbuka hili ni tangazo la mtu, anatafuta mteja wa kununua gari lake .Kama kunamtu anataka awasiliane na LUCKY CEMENT Kisarawe..wanayauza kwa 6M tu.haina udalali.
mkuu mbna unauza bei ya showroom?Bei ni million 12, inaweza kushuka kama mteja atapatikana mapema.
well saidKumbuka hili ni tangazo la mtu, anatafuta mteja wa kununua gari lake .
Tena vigari vyenyewe vimekatwa panki utafikiri mabati kiwandani yaliisha.mkuu mbna unauza bei ya showroom?